Top Notch (feat. Marioo) - Alikiba

Top Notch (feat. Marioo)

Alikiba

00:00

02:32

Similar recommendations

Lyric

Yeah!

Mh-mh (It's Cukie Dady)

Asubuhi ana-niitaga, "my love"

Mchana ana-niitaga, "baby, baby"

Usiku ana-niitaga, "wa ubavu"

Halafu mi mwenyewe mi, ye ndo tamu yangu, ah

Akiamkaga anasema "ananipenda," hawezi kuniacha

Hata apewe nini, hawezi kunia- ah

Amesema mi wa mwisho kunipenda, hawezi kuniacha, ah

Hata apewe nini, hataki kuniacha

From the head to the toe

We bado ni top-notch

Baby girl, nikiwa kwako najipata

I'm a city boy, ila we ni master

Ukigusa, ukiniita yaani come, tamu

From the head to the toe

We bado ni top-notch

Baby girl, nikiwa kwako najipata

I'm a city boy, ila we ni master (yeah)

Ukigusa, ukiniita yaani come

Shikamoo, shika roho

Je m'appelle, Ali K

Wacha waone nakuganda, nakupenda kama holiday

Kwanza unavyonipea, mambo mazuri mambo, yeah

Kuna level I wanna show you

Loving you I swear and I dare, yeah

Unawaringia, ringia ukiona wanalia, wanaumia

Usipagawe na madudu, kwani mi ndo baba yao

Ah, okay baby, ringa nivimbe

We share body

We are one body

Me, 'want no body

You're my body

You're my fantasy

You're my everything, girl

From the head to the toe

We bado ni top-notch

Baby girl, nikiwa kwako najipata

I'm a city boy, ila we ni master

Ukigusa, ukiniita yaani come

(Balaa, balaa, balaa) yeah

(Balaa, balaa) top-notch

(Balaa, balaa, balaa) yeah, iyeah

(Balaa, balaa) top-notch

(Balaa, balaa, balaa) yeah

(Balaa, balaa) top-notch

(Balaa, balaa, balaa) yeah, iye, ah

(Balaa, balaa)

(The Mix Killer)

Top-notch

- It's already the end -