00:00
04:01
Mr LG
Nimefanya survey
Jiji lako liko salama
Umenitoa hofu mashaka (shulala sholele)
Moyo upo Bombay
Mwili upo Dar es Salaam
Hisia zimevuka mipaka (shulala sholele)
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nyele
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
(Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
Oka tafadhali, usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari
Tafadhali, usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
(Olala, ololo, olala, ololo, ololo)
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
(Olala, ololo, olala, ololo, ololo)
Baby watazame wale, hawali wakashiba
Wanakesha kuroga tuachane
Kwetu mambo narenare, raha sio kawaida
Wenye presha na pumu ziwabane (hmm)
Mapenzi uji wa moto (wa moto)
Puliza me nikoroge (nikoroge)
Kisha nifanye kama mtoto (mtoto mdogo)
Unibebe nikaoge
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
Raha zimefatizana, utamu sukari tele)
(Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
(Oka tafadhali) tafadhali mpenzi
(Usiniache kwenye hii safari) peke yangu siwezi
(Usiende mbali) siwezi, siwezi mpenzi
(Mi mgonjwa we ndo daktari)
Tafadhali (tafadhali mpenzi)
Usiniache kwenye hii safari (me peke yangu siwezi)
(Usiende mbali) chonde mpenzi
(Mi mgonjwa we ndo daktari) chonde mpenzi, chonde, chonde
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
(Olala, ololo, olala, ololo, ololo)
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
(Olala, ololo, olala, ololo, ololo)
♪
(Kamix Lizer)