00:00
03:19
**You Better Go** ni wimbo kutoka kwa Harmonize, msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania. Wimbo huu unaonesha uwezo wake wa kipekee katika kuunganisha midundo ya kisasa na maneno yenye hisia, na umevutia mashabiki wengi katika vipindi vya hivi karibuni. "You Better Go" imepata sifa nzuri kutokana na muundo wake mzuri na urembo wa sauti ya Harmonize, ikiongeza umaarufu wake zaidi katika tasnia ya muziki ya Afrika Mashariki.
Konde boy, call me number one
(It's Cukie Dady)
Mmh, baby your eyes on my phone
Yani utadhani body langu sexy, sexy hulioni
Yeah, always on my phone
Unatazama nani anae nitext text ajabu humuoni
You better know
Upendo wangu umeugeuza fimbo
Haya ni mapenzi sio ulimbo
Matusi yamekuwa wimbo hadi namiss kuwa single
Moyo unapenda amani kwanza
Kisha vitu vya thamani why?
Humalizi ukianza ka' tuko mahakamani
You better go (you better go)
Baby, I'll let you go (rumba)
You better go, I'll let you go
You better go, aah, I'll let you go (sijakupenda unitende)
You better go, I'll let you go (uende ama niende)
You better go, mmh, I'll let you go
(Hadi namiss kuwa single)
♪
Yeah, mwenzenu nakichwa cha nyoka siuwezi mzigo wa mawazo
Ninacho hofia meno yatanitoka nguvu za kusukumana sinazo
Nani kakuchoma mkuki? Mbona damu zinanivujia mimi
Na kukucheat sikumbuki baby, utaniamini lini?
Furaha imepotea, kila kitu kwako nakosea
Ooh, uh, kujitetea hadi nishaanza kuzoea
Moyo unapenda amani kwanza
Kisha vitu vya thamani why?
Humalizi ukianza ka' tuko mahakamani
You better go (you better go)
Baby, I'll let you go (rumba)
You better go, I'll let you go
You better go, aah, I'll let you go (uh, sijakupenda unitende)
You better go, I'll let you go (uende ama niende)
You better go, mmh, I'll let you go
(Hadi namiss kuwa single)
Ah-ah, ah, mm-mm, ah-ah
It's Konde Boy, call me number one, yeah
Konde Music Worldwide
(The Mix Killer)