00:00
03:14
"Raha" ni wimbo maarufu unaotolewa na msanii mashuhuri wa Tanzania, Nandy. Wimbo huu unazungumzia masuala ya upendo, furaha, na maisha ya kila siku kwa njia ya muziki unaovutia na maneno yenye mvuto. Melodi ya "Raha" inachanganya vipengele vya muziki wa kisasa na mitindo ya kienyeji, ikiwafanya wapenzi wa muziki katika eneo hilo kupendelea sana. Kwa sauti yake laini na mtindo wake wa kipekee, Nandy ameimarisha nafasi yake katika tasnia ya muziki ya Afrika Mashariki, na "Raha" ikiwa moja katika wimbo wake unaofanikiwa sana.
Nawaza ingekuaje kama ningekukosa
Nawaza
Inamaana hizi raha zote ningezikosa
Nawaza
Penzi limenikolea kama mtoto anashindwa tembea
Raha zimenibombea kwa mama nitakusemea
Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke
Unichonipaga usidiriki kunyinma mi nideke
Penzi limetaradi oya halima acha nicheke
Nilale ama mi nisimame wima
Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui
Unanipa raha
Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha
Zidi kunifundisha mi sivijui
Unanipa raha
Nianze kukulisha ndo nile
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh
Hadi kucha zinaisha
Nikikuona nazing'ata
Unavyonizubanisha mi napagawa oyani tu
Tuache yote tisa, kumi nakupa limbwata
Unavyoniburudisha mi napagawa
Nakupenda unanipenda mpaka rahaa
Nikikuona tu nashiba sina njaa
Hili penzi limejawa na furaha
Wakikuiba natoa mtu kafara
Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke
Unachonipa usidiriki kuninyima mi nideke
Penzi limetaradi oya halima acha nicheke
Nilale ama mi nisimame wima
Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui
Unanipa raha
Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha
Zidi kunifundisha mi sivijui
Unanipa raha
Nianze kukulisha ndo nile