Kwaru - Zuchu

Kwaru

Zuchu

00:00

03:05

Song Introduction

"Kwaru" ni moja ya nyimbo maarufu za msanii wa Tanzania, Zuchu. Nyimbo hii inachanganya mtindo wa Bongo Flava na R&B, ikiwavutia wasanii wengi kutokana na midundo yake ya kuvutia na maneno ya kupendeza. Tangu kuizunguka sokoni, "Kwaru" imekuwa na mafanikio makubwa, ikionyesha uwezo mkubwa wa Zuchu katika ulimwengu wa muziki barani Afrika. Video yake ya muziki ina ubunifu na maonyesho ya kuvutia, ikiongeza umaarufu wa nyimbo hii.

Similar recommendations

Lyric

Ayo Laizer

Aaaaaaahhh

Aaaooaaah aah

Roho ingekua na macho ingejionea

Moyo haufanyi kificho ukiotea

Mimi kipi nisonacho ungeongea

Mwili wangu rojorojo nanyong'onyea aah

Chungu nilichopika wamepakua wenzangu

Huruma napukutishwa wamechukua donge langu

Na kitabu changu cha mapenzi ukurasa umechana-chana

Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana

Mpofu moyo wangu

Ulishindwa oonaa

Hukuandikwa wa kwangu

Limenikaba nalitemaa

Kwaru kwa kwaru kwaru

Kachukua kisoda anaukwaruaa aah

Kwaru kwa kwaru kwaru

Moyo wangu unaumia aah

Kwaru kwa kwaru kwaru

Ye kwa nguvu ana ukwaruaa

Kwaru kwa kwaru kwaru

Jamani moyo wangu unaumia aah

Langu tatizo na chunda najimaliza

Mi nakesha kumuwaza

Na weweseka lake jina oooh jina

Basi kwa unyonge najikaza niache kulia

Maana kwake bahati sina (oooh sina)

Maumivu ameipora furaha yangu (uuh)

Amekwenda nayoo na

Zangu mbivu zimeniozea hasara kwangu (oooh)

Yatapita hayo

Mpofu moyo wangu ulishindwa ona

Hukuandikwa wa kwangu

Limenikaba nalitemaa

Kwaru kwa kwaru kwaru

Kachukua kisoda anaukwarua aaah

Kwaru kwa kwaru kwaru

Moyo wangu unaumia

Kwaru kwa kwaru kwaru

Aah ye kwa nguvuuu anaukwarua

Kwaru kwa kwaru kwaru

Jamaniii moyo wangu unaumia

Wasafii

- It's already the end -