Nisamehe - Zuchu

Nisamehe

Zuchu

00:00

03:53

Song Introduction

**Taarifa kuhusu wimbo "Nisamehe" wa Zuchu** "Nisamehe" ni wimbo maarufu kutoka kwa msanii huyu wa mtindo wa Bongo Flava, Zuchu. Wimbo huu unaangazia mada ya msamaha na upendo, ukionyesha hisia za ndani na uzoefu wa kijamii. Sauti ya Zuchu inavutia na muziki wake unaovutia umesema kwa undani masuala muhimu ya maisha na mahusiano. Tarehe na mafanikio ya wimbo huu yamelilindwa kwa mashabiki wake nchini Tanzania na ukaribu unaopanuliwa kimataifa, ikionyesha ukuaji wake katika tasnia ya muziki.

Similar recommendations

Lyric

Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani

Roho yanidadarika kashanitoka sheitwani

Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi

Moyo umekunja ndita nimekumiss jamani

Ngumu safari ilifanya njiani ushukie

Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe

Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie

Kweli mbaya halisi nawema hakosi ye

Nisamehe

Nisamehe

Nisamehe

Nisamehe

Chozi dibwi dibwi nachanganikiwa navilio sishikiki

Niko magharibi lizamapo jua wewe upo mashariki

Zawadi vipochi vijuice vipipi nazimiss chocolate

Nimekoma dear nilivyo nyongea huba zako sizipati

Tabibu kunikomesha umepata toto la kitanga

Sababu umeichoka jeuri yangu ya kipemba

Lile gubu limeniisha kabisa baby halimanga (aibu)

Wananicheka wajinga rudi nakuomba

Ngumu safari ilifanya njiani ushukie

Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe

Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie

Kweli mbaya halisi na wema hakosi ye

Nisamehe

Nisamehe

Nisamehe

Nisamehe

Nikikaa nawaza nimuingie kwa style gani?

Nimlilie niseme nnamimba kasahau t-shirt nyumbani

Nashindwa kujizuia uvumilivu unanishinda kwanini

Nikimpigia kusudi zake akipokea eti hellow wewe nani (iiih)

Na namba kakupa nani (iiih)

Mara aahh kumbe wewe unafanya issue gani (siku hiziii)

Nimsanii anajua inamana hanioni (kwenye Tv)

Aah ai wewe

Aah ai wewe

- It's already the end -