Ashua (feat. Mbosso) - Zuchu

Ashua (feat. Mbosso)

Zuchu

00:00

02:59

Song Introduction

Hakuwepo habari yoyote ya wimbo huu kwa sasa.

Similar recommendations

Lyric

Aaaanh Aanh Naah Aaaah

Marhaba Marhaba Habibi

Tunda Komamanga la kupachua

Ooooh

Mahaba Mahaba yanzidi

Kindimu changa chakuchachua

Mmmmnh

Tamu zaituni tunda la Peponi nalila (nalila)

Gamu ya sakafuni tunadundishana kipira (kipira)

Napewa penzi sabuni linalontakasa madhira

Huniita hunnie haiyuni mkali wa tatu bila (bila)

Upepo wa Pwani umenipeleka bara

Niongoze usukani kwenye penzi barabara

Wakati wako tamba

Ashua eenh

Ashua shuuu

Ashua

Ok baby jishongondoe

Ashua eenh

Ashua shuu(eenh)Ashua

Na roho zao ziwaume

Ashua

Ashua shuu

Ashuaa

Lolololoooh

Ashua

Ashua shuu(eenh)

Ashua (eenh)

Tuwachome mapakashume

Oooohooooh ooooh

Kweli mambo mazuri hayataki haraka ooh

Haraka oohooh mmmnnh

Kwa dua nimesubiri nimepewa nilichotaka ooh

Nilichotaka oohooh mmmnh

Penzi ninalinogesha (noga)

Nampa mchicha ale (noga)

Vinono vya kunenepesha (noga)

Sambusa ya nyama tele (noga)

Kisha namchangamsha (noga)

Namchezea segere (noga)

Mwali kujinengemusha (noga)

Huku napiga kelele aanh aanh anh

Upepo wa Pwani

Umenipeleka bara

Wewe wangu usukani

Kwenye Penzi barabara

Wakati wako tamba

Ashua iiiiih

Ashua shuu

Ashuaa

Ok baby jishongondoe

Ashua eenh

Ashua shuu (eenh)

Ashuaa

Na roho zao ziwaume

Roho zao ziwaumeee

Lolololoooh

Ashua eenh

Ashua shuu

Wakikuuliza mbona huonekani

Tunacheza solo na zumari ndani

Eenh kuingiza kete shimoni

Tunacheza Solo na Zumari ndani

Na kwa malovie dovie

Tunacheza solo na zumari ndani

Michezo ya karata kulambishwa mavi

Tunacheza solo na zumari ndani

- It's already the end -