00:00
03:33
"Fall" ni wimbo maarufu kutoka kwa bendi ya Kiingereza Platform. Wimbo huu una mtindo wa indie pop na una maneno yanayozungumzia mada ya upweke na uchungu. Platform, ambayo inajulikana kwa sauti yao ya kipekee na muundo wa muziki unaovutia, imefanikiwa kuvutia wasikilizaji wengi duniani kote. "Fall" imepokea sifa kubwa kutokana na uandishi wake bora na utendaji mkubwa, ikionyesha uwezo wa bendi hii kujenga vibao vya muziki vinavyoendelea kuvutia na kutoa hisia kwa njia ya kipekee.
Sauti yako kama ringtone
Nikilala kwa masikia
Bado inanijia aah
Bado naisikia aah
Kama macho we ndo zangu mboni
Hata nisipafumba wengine sioni
Bado unanijia aah, uninijia aah
Kwenye baridi unikumbate eeh
Dimbwi la mapenzi tuwe wote eeh
Upweke mwenzako nahofia
Nipeti nipate tulia
Ninavyokupenda usichoke eeh
Kama basi kufa tufe wote eeh
Nzi kidondani nafia, nipeti nipate tulia
Aaah kwako nime fall in love
I'm fall in love aye ye ye ye
Aaah nime fall in love
I'm fall in love
Ooh mi na wewe
♪
Aaah iwe kiangazi ama kwa masika
Uniahidi baby tutafika
Ooh mimi na wewe
Ooh mimi na wewe
Iwe raha ama patashika
Kwenye mabonde na kadharika
Ooh mimi na wewe
Ooh mimi na wewe
Aaah kama umeroga basi ongeza tena
Nipagawe mazima ooh mazima
Mmh ninavyokupenda usinichoke eeh
Kama basi kufa tufe wote eeh
Nzi kidondani nafia, nipeti nipete tulia
Aaah kwako nime fall in love
I'm fall in love aye ye ye ye
Aaah nime fall in love
I'm fall in love
Aaah kwako nime fall in love
I'm fall in love aye ye ye ye
Kwako nime fall in love
I'm fall in love aye ye ye ye