Huku - Alikiba

Huku

Alikiba

00:00

04:05

Similar recommendations

Lyric

Sound by abbah

Juu yako kibudu nimedead aah

Fanya utakavyo am ready aah mmh

Baby baby tuspend aah

Maisha yenyewe mafudi no dead line

Huku nishike, huku nishike huku

Aah huku baby, huku eeh

Huku nishike huku

Huku baby huku

We pisi kali hushindani na vikaragosi

Ooh ooh vikaragosi

Usije ukamwaga mwenzio ntalost

Ooh ooh utanimaliza

Huku nishike, huku nishike huku

Aah huku baby, huku eeh

Huku nishike huku

Huku baby huku

Una hofu na monalisa na aisha

Wakati we ndo unanimaliza unanimaliza aah

We ndo unanifaana ni fire aah

Ooh ooh wale vikaragosi ooh

Wapi wapi wapi

Wapi nishike wapi

Wapi nishike huku

Wapi huku

Wapi nishike huku

Ooooooh

Ooh usisare sisare

Ooh nadi ana didiana

Ooh unanimaliza

Huku nishike huku

Huku baby huku

Huku nishike huku

Huku baby huku

Kata kidogo, nata na mikogo

Nataka kidogo

Kasweet kama jojo katoto ka model

Kata kidogo, nata na mikogo

Nataka kidogo

Kasweet kama jojo katoto ka model

Ooh usisare sisare

Ooh nadi ana didiana

Oooohhh

- It's already the end -