Siko Sure - Nadia Mukami

Siko Sure

Nadia Mukami

00:00

03:44

Similar recommendations

Lyric

(Alexis on The Beat)

Siko sure kama nakupenda tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakumiss

Siko sure kama nakufeel tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakukiss

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Mahaba, mapenzi, mbona sitaki?

Afadhali nimpende alonizaa

Sina wa kuniita

Chichichi mama, nami chichichi baba

Chichichi mama, nami chichichi baba

Chichichi mama, nami chichichi baba

Chichichi mama, nami chichichi baba

Siko sure kama nakupenda tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakumiss

Siko sure kama nakufeel tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakukiss

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Labda umetimu stesheni, nakuzingua

Maybe umekuwa na option, ya kuchagua

Au imeingia fashion, nisoijua

Maana niko kwenye cheni, nasuasua

Nimejaribu kureboot

Bado system ina ghushi ghushi

Feelings zako zenyewe ni za kuboost

Ni ka unavuta sigara stimu haikupi

I do my best, nakwenda race

Inaonekana nimeshafail test

Naona kinoma noma unanichase

Kosa sio kosa unashtakiwa case

Na mimi bado nakupenda

Bado naona tunaweza kwenda

Na tunayo nafasi ya kuyajenga

Channel yetu imeingia chenga

Siko sure kama nakupenda tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakumiss

Siko sure kama nakufeel tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakukiss

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure kama nakupenda tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakumiss

Siko sure kama nakufeel tena

Ngoja ninywe pombe, nione kama ntakukis

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

Siko sure nawe, nawe nawe

- It's already the end -