00:00
03:31
Kwa sasa hakuna taarifa kuhusu wimbo huu.
Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Huu mwaka mtaniita boss
Oya! Si eti eeh mmmh
♪
Oh no no no, ooh aah
(Ma Feelings make It)
♪
Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Mtaniita boss
Huu mwaka eeh
Faida solosi
Tushalala njia
Huu mwaka
Mwendo wa misosi
Sisi Mungu
Anatulinda
Japo maadui wengi
Wanatuwinda
Vita nyingi, ila tutashinda
Ushanyanya
Sika huu mwaka mwendo wa wakuvimba
Huu mwaka nanunua gari
Niwape lifti
Huu mwaka namaliza nyumba
Yangu kibiti
Huu mwaka wa machozi kwa
Ex wangu alonisaliti
Siku ya arusi yangu
Msimpe hata juisi anikome
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Ndio mwaka wa kufosi
Yaani mtake msitake
Mtaniita boss
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
♪
Kwanza nashukuru tumevuka (Tumeuona)
♪
Yale yaliopita yametokomaza
Oya wanangu wa bodaboda (Eeh)
Wa akina mama wauza mboga (Eeeh)
Hata wachawi wabeba nyota
Huu mwaka ni wetu
Kama unadanga danga sana
Ila usisahau kumake bwana
Uje kujenga ka kibanda
Nawe uwe na kwenu
Na ukipata limama, eh likomoe
Likupe pesa huu mwaka utoboe
Oya usikae kizembe na usichague jembe
Kama mkulima lima
Kama unaimba imba utoboe
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
♪
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh
Huu mwaka eeh