Tuna Kikao (feat. Diamond Platnumz) - Lava Lava

Tuna Kikao (feat. Diamond Platnumz)

Lava Lava

00:00

04:09

Similar recommendations

Lyric

Sisi ni walevi, tunakesha bar

Tunatumia hela, hatujaja kushangaa

We zombie

Haujui

Mimi samba na masimba dangotee eeh

Love bite

Ninja kong fuu master (aah master)

Sisi ni walevi, tunakesha bar

Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa

Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa

Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa

Wenyewe tuna kikao

Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao

Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao)

Tuondolee kelele (tuna kikao)

Tupishe bwana (tuna kikao)

Eeeh (tuna kikao)

Wazee wa nyumba tutajenga mwakani (ndo zetu)

Kwanza heshima mezani (ndo zetu)

Kikubwa ghetto na bebe iwe ndani (ndo zetu)

Na mama ale nyumbani

Tukizikosa kitongo ganda la ndizi

Tukizipata ndo maboss (matumizi)

Tukiwa bwii kuhonga (ving'ang'anizi)

Tunatakaga ile kitu (ya uzinzi)

Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar

Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa

Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa

Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa

Wenyewe tuna kikao

Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao

Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao)

Tuondolee kelele (tuna kikao)

Tupishe bwana (tuna kikao)

Eeeh (tuna kikao)

Eeeh eeeh

Mishoti tu zoyogo ndo chini nyan' ganyang'a

Na ukinchekea kidogo aah umetafunwa bwana

Eeh kushoto na zombie kulia tosi

Ni mwendo wamonde na misosi

Ikukushinda chonde usijifosi

Sie mpaka ligonge la utosi

Eti nilale, nimlaie nani

Wakati pesa nimeshika ukubwani

Nilaale, kwa usingizi gani

Wakati umaarufu nimeupatia ukubwani

Na wakiutaka motoo moto nawatembezea wa kifuu

Oosh kamata mutoto ghetto kifo cha nende

Miguu juu

Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba

Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga

Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba

Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga

Jamani sisi ni walevi, tunakesha bar

Tunatumia hela, mpaka jua lianze ng'aa

Kama pombe we hauwezi hapa hapoto kufaa

Nenda meza za inzi kwa wenzako wanao shangaa

Wenyewe tuna kikao

Tuna kikao, tuna kikao, tuna kikao

Eeh tupishe bwana (wenyewe tuna kikao)

Tuondolee kelele (tuna kikao)

Tupishe bwana (tuna kikao)

Eeeh (tuna kikao)

Eeeh eeeh

Kama nikinywa mi nakukera shauri zako (shauri zako)

Kwani mifigo si ya kwangu mimi au ya kwako (au ya kwako)

Kwani natumia ya kwangu hela au ya kwako (au ya kwako)

Mtoto wa kiume punguza shobo utashikwa taa (aaaahh)

Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba

Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga

Asa waonyeshe ka chupa halijakwisha baba

Asa tingisha tingisha fanya ka unamwaga mwaga

Jamani sisi ni wa

- It's already the end -