Sawa - Jay Melody

Sawa

Jay Melody

00:00

03:24

Song Introduction

Kwa sasa, hakuna taarifa zinazohusiana na wimbo huu.

Similar recommendations

Lyric

Jay, once again (Ney)

Mapenzi tu, nimepagawa hamjui

Ye kila mara ananifanya silali, namuwaza yeye tu

Anayeweka roho yangu juu, ana utoto tu

Sema uzuri ananipaga asali, mi nailamba tu

Na penzi letu ni kama sunna, na ulinzi kama suma

Hata akinuna, bado unapendeza mchumba

Nkimuona ananichuna, msinioneye huruma

Cha mtu huliwa na mtu, kutu yake chuma

Basi mwambieni nampenda

Sawa

Sawa

Sawa

Anh, mwambieni nampenda

(Yes) sawa

(Right) sawa

(Ah) sawa

Huo utamu hasa nikiingia, akifungua gate naingia

Akipanua neti naingia na wala sikwepeshi naingia

Sina akili ya ku change idea, hapo-hapo nime mng'ang'ania

Hapo-hapo nimeshikilia na visokorokwinyo mtaumia, naahaa

Kwa hakika haya mapenzi

Kusema kweli, yataniua

Kwa hakika haya mapenzi

Kusema kweli, yataniua

Na penzi letu ni kama sunna, na ulinzi kama suma

Hata akinuna, bado unapendeza mchumba

Nkimuona ananichuna, msinioneye huruma

Cha mtu huliwa na mtu, kutu yake chuma

Basi mwambieni nampenda

Sawa

Sawa

Sawa

Anh, mwambieni nampenda

(Yes) sawa

(Right) sawa

(Ah) sawa

- It's already the end -