00:00
03:11
"Nakuja" ni wimbo mpya unaotolewa na msanii maarufu wa Tanzania, Tommy Flavour, ukiwa na ushirikiano na Marioo. Wimbo huu unachanganya sauti za asili ya Bongo Flava na midundo ya kisasa, kwa lengo la kuwavutia wasikilizaji wa rika zote. "Nakuja" inazungumzia mada za upendo na matumaini, ikiwapa watu ujumbe chanya. Taarifa kuhusu tarehe ya kutolewa na mafanikio ya wimbo huu yanaweza kupatikana kupitia majukwaa ya muziki ya mtandaoni na mitandao ya kijamii ya wasanii hao.
Eh
He-he, mm, bad (bad)
♪
Mm-hmm
Oye (sounds by Abba) shee
Nakuja, baby nakuja
Allow me, baby nakuja
Nakuja, baby nakuja
Allow me, allow me, baby nakuja
Kama ajali, mie kwako nyang'anyang'a
Uhodari utafanya nilie, wakininyang'anya
Nakuja, baby nakuja
Allow me, baby nakuja
Nakuja, baby nakuja
Allow me, allow me, baby nakuja
♪
Nikamate, nikamate
Nikamatie, nikamatie, usinibwage
Baby, let me be romantic
Hatujali, we don't mind them
Mmh, navuta picha ulivyo teacher
Mambo joro joro
Mama Bonita
Murembo mororo
Nakuja, baby nakuja, ah
Allow me, baby nakuja
Nakuja, baby nakuja
Allow me, allow me, baby nakuja, eh
Kama ajali, mie kwako nyang'anyang'a
Uhodari utafanya nilie, wakininyang'anya
Nakuja, baby nakuja
Allow me, baby nakuja
Nakuja, baby nakuja (mm)
Allow me, allow me, baby nakuja
Oh baby, njoo, njoo, njoo (closer)
U-whoa, whoa, oh
Oh baby, come, come, come (closer)
U-whoa, whoa, oh
Kwani umeumbwa kwa udongo ama, ah
Umefinyangwa kama dongo
Baby, kwani umenipiga zongo wa-allah, uh (shee)
Nakuja, baby nakuja
Allow me, baby nakuja
Nakuja, baby nakuja
Allow me, allow me, baby nakuja
Kama ajali, mie kwako nyang'anyang'a
Uhodari utafanya nilie, wakininyang'anya
Nakuja, baby nakuja, ah
Allow me, baby nakuja
Nakuja, baby nakuja
Allow me, allow me, baby nakuja, eh
(Kama ajali, mie kwako nyang'anyang'a)
(Uhodari utafanya nilie, wakininyang'anya)