Kiza Kinene - Nandy

Kiza Kinene

Nandy

00:00

03:36

Song Introduction

"Kiza Kinene ni wimbo maarufu wa msanii Nandy kutoka Tanzania. Wimbo huu unachanganya muziki wa kisasa na ladha za kitamaduni, ukiwa na maneno yake yanayovutia na sauti ya kupendeza ya Nandy. Imepata umaarufu mkubwa katika nchi za Afrika Mashariki na ina wafuasi wengi kinonosoka na pumzika nyuma ya sauti yake ya kipekee."

Similar recommendations

Lyric

Kimambo on the beats

Kiherehere kimeniisha

Eeh nimekuwa simulizi kwa penzi lako

Waninanga wee

Zaidi yanisikitisha

Eti nimekuwa chuma cha kafuro

Nipo juu ya mawe

Jikoni kwangu kaingia mdudu gani?

Mara kwenye kikombe mara sahani

Ona katibua maji kisimani

Oooh salala

Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua

Masala

Nimezidisha chenji kimeota nyasi

Mbaghala

Nilipita dirisha nafasi kuigombania

Ah baba

Kumbe basi limejaa na mlango upo

Haioni mboni yangu (Kiza kinene)

Kibatari utambi umetumbukia (Kiza kinene)

Yaila ghidira yangu (Kiza kinene)

Nimepekechwa nguzo niliyoegemea (Kiza kinene)

Ah... aah

I've been trying not to diss you

Mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi

Hope uko sawa, my darling

And I've been trying not to miss you

Ila unapoenda kutwa yangu maumivu

We yangu dawa, ooooh ooh

Chumbani kwangu kaingia kunguni gani?

Mara kwenye kitanda mara kwa shati

Aii, haya ni maruani

Yanafanya nakosa amani

Oooh salala

Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua

Masala

Tushazamisha meli yameisha

Mabega

Nitaambia nini waingo mukhana tire na

Ingababwa

Nina mafeelings ingawa sijiwezi

Hayaoni macho yangu (Kiza kinene)

Koroboi utambi umetumbukia (Kiza kinene)

Yaila ghidira yangu (Kiza kinene)

It never gonna be the same

No No No No oooh (Kiza kinene)

- It's already the end -