Ukimwona - H_art the Band

Ukimwona

H_art the Band

00:00

03:52

Song Introduction

Kwa sasa hakuna taarifa zinazohusiana na wimbo huu.

Similar recommendations

Lyric

Kusema kweli bado nakuhata

And on the daily bado nakufuata

Kosa sio hoja zaidi ya kukupenda

Vipi nikatupa ndoto tulizoziota

BRIDGE:hoooo uliniwasha nare

Enzi zetu za kuparre kwa mvinyo na makali magizani hadi ngware

Nikijifanya daktari wa mabinti wale

Wenye shepu za hatari nikapotelea ndani...

Ilaaa mwambie nampenda...

Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona...

Mwambie nampenda roho ya mtamani bado nampenda ukimwona...

(Ukimwoona...)

Tabasamu la kishua

Roho sawa na maua

I cant help I miss you every morning vile unapendeza

Kama ningeweza jua yepi ya kutarajia

Nisingejipata mashakani kwa niliyoyatenda

Ninayempenda ni wewe hakuna mwengine wakubadili penzi

Ningependa tuelewane

Kiburi kisinikosanishe nawe

BRIDGE:hooo uliniwasha paree na sikushika nare ukanisema kwa jirani

Kwamba mimi ni kisarani aibu za hadharani vile penzi hatari

Njoo unipe amani kama hapo zamani

Mwambie nampenda...

Roho yamtamani, bado nampenda ukimwoona...

Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...

Ukimwoonaa...

Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...

Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...

(Mwambieeee) Mwambie nampenda roho yamtamani bado nampenda ukimwona...

(Mwambieeee) Mwambie nampenda roho ya mtaani bado nampenda ukimwona...

- It's already the end -