Rhumba Japani - Sauti Sol

Rhumba Japani

Sauti Sol

00:00

03:51

Similar recommendations

Lyric

Kuna rhumba ya Juja

Na ni ya maboy

Ukisaka mitumba

Enda rhumba ya Toi

Kuna rhumba ya Kibich

Utajua hujui

Kuna rhumba for all you niggas

Ila rhumba Japani ndio rhumba

Kuna rhumba ya State House

Iko chini ya maji

Kuna rhumba ya Bunge

Ya majambazi

Ukileta ujinga (Wee)

Utalala ndani

Kuna rhumba for all you niggas

Lakini rhumba Japani ndio rhumba

Hapa ni wapi?

Tumezungukwa na shisha na shahsamani

Mapochopocho na vinywaji mbali mbali

Wengine wanatapika wakizirai

Hapa ni wapi? (Sol Generation)

Wanatutwanga mapicha kipaparazi

Tumezungukwa na warembo geti kali

Tunazitoka na style za kizamani

Kuna rhumba ya Westy

Ya mabeshte

Wa mashinani

Sheki your waist

Rhumba ni nyepesi

Isikue kesi

Kuna rhumba for all my niggas

Ila rhumba Japani ndio rhumba

Kuna rhumba Karura

Ya kupanda miti

Ukiwa Koinange

Hakunaga risiti

Rhumba Oyole

Hio ni ya mangwati

To all of my hoes and all of my niggas

Rhumba Japani ndio rhumba

Hapa ni wapi?

Tumezungukwa na mabouncer kama chwani

Kuna mapedi, mapoko pia mapinji

Na wanaseti michele kwenye vinywaji

Hapa ni wapi?

Kuna visanga vioja mahakamani

Wapenzi wapigana mate hadharani

Wengine wanatekana nyuma ya taxi

Nitie rhumba Obunga

Mano mar jothurwa

To kidwa bilo mbuta

Rieri yo manyata

Yawuoi orwaka akala

To nyiwa ondiso avunja

Kuna rhumba for all you niggas

Lakini rhumba Japani ndio rhumba

Ah-ah, ah-ah

Sol Generation you know

Hii shit imeniweka zone

Inatamba

Ah-ah

Hapa ni wapi?

Waheshimiwa wako nje kwa foleni

Na raia wako ndani wajivinjari

Wanazitoka na style ni za kiodi

Hapa ni wapi?

Mawochi wote wameleta utiaji

Wakafungia wakubwa nje ya party

Wakaachia ofisi wafanyikazi

- It's already the end -