00:00
04:10
Huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo
Nilikuwa na mpenzi, mpenzi, mpenzi, mpenzi, mpenzi
Nikasema kumuacha siwezi, siwezi, siwezi, siwezi
Akanifanyia ushenzi, ushenzi, ushenzi, ushenzi, ushenzi
Nikayachukia mapenzi, mapenzi
Leo kaanza kuniita bebe (ananiita bebe)
Hivi ananiona mi bwege (ananiona bwege)
Anajilegeza lege
Anataka tena mshedede
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru
♪
Ndio basi (ndio basi tena)
Haunipati (haunipati tena)
Oh, ndio basi (ndio basi tena)
Haunipati (haunipati tena)
Nauko-kome, kujitumisha meseji
Nauko-kome, kuniita ita baby
Nauko-kome, kujitumisha meseji
Aii ko-kome, kuniita ita baby
Oya kaanza kuniita bebe (ananiita bebe)
Hivi ananiona mi bwege (ananiona bwege)
Anajilegeza lege
Anataka tena mshedede
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Wanini, wanini, wanini mimi wanini
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru
Fukuza kunguru, kunguru
Kunguru, kunguru