Na Bado (Thursday) [feat. Nyashinski] - H_art the Band

Na Bado (Thursday) [feat. Nyashinski]

H_art the Band

00:00

03:44

Song Introduction

Kwa sasa, hakuna habari zinazohusiana na wimbo huu.

Similar recommendations

Lyric

Fungulia TV

Uone vijana wako wakifanya mambo ndani ya mitambo mama

Sauti tamu kwenye radio

Nimefika hapa juu ya maombi yako

Hata kama sijafika niendako

I know I'm on my way

Napenda ukitabasam

I hope I make you even prouder

Na uzidishiwe afya uone nikivuka border

And as I get older you can lean on my shoulder

Umenifunza mengi

I remember when you told me

Don't you let nobody ever change who you are

So I keep running hata nikianguka

Straight out of heaven Malaika

Upendo wako haujawaibadilika

You said take your time why you always in a hurry

Be a star let it shine tell your story

You're a ten over ten you should know that

Hawanioni vile unavyoniona

Mama I'm gonna conquer the world with my guitar

Na Bado, Na Bado

Mama najua siku moja nitakua Star

Na Bado, Na Bado

I will be your Star

I will be your Star

Truth or dare uko ready

Life si fair already

Tukicompare kwenda Uni au kua millionaire na dreadi

Utajiambia hii moja haikui

Passion haitawaipay

Si uache ball hautawaikua Messi

Hata ujitolee haiwezi

So niambieni ka madreamer world ingeonaje mapenzi

Na unapimaje wazimu kujua dream yangu ni crazy

Just needed someone to believe in me

I'm living to be more than just another boring eulogy

Na siwezitoka bila kuacha jina you'll remember me

My name will live forever may our memories together be

As nice as sunny weather days

Like your energy

I'm grateful and I'm proud of me

Siamini naacha legacy mama

Vile meli inaenda ni kama

Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama

Vile meli inaenda ni kama

Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama

I'm gonna conquer the world with my guitar

Na Bado, Na Bado

Mama najua siku moja nitakua Star

Na Bado, Na Bado

I will be your Star

Najua siku moja nitakua Star

Na bado, Na Bado

I will be your Star

- It's already the end -