Moyo Wangu - Diamond Platnumz

Moyo Wangu

Diamond Platnumz

00:00

03:51

Song Introduction

"Moyo Wangu" ni wimbo maarufu kutoka kwa msanii wa Kiswahili Diamond Platnumz. Wimbo huu unazungumzia upendo usioyumba na uaminifu katika mahusiano, ukitumia midundo ya kisasa na maneno ya kuvutia. Tarehe ya kutolewa ilitangazwa katika mwaka wa hivi karibuni, na imepata umaarufu mkubwa katika maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki. Mashabiki wameipenda sana kwa muziki wake wenye nguvu na ujumbe wa dhati, na "Moyo Wangu" limekuwa mojawapo ya wimbo bora kutoka kwa Diamond Platnumz.

Similar recommendations

Lyric

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee

Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee

Moyo wangu mimi hme umeniponza mamaa ah ah ah

Upole wangu simanzi eeh kwangu kupenda maradhi eeh

Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sinaa

Jichoni kwangu kibanzi eeh ninakapenda kamanzi eeh

Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sinaa

Ufinyu wa mboni zangu (mboni zangu) unatazama mengi yanayonipa mateso

Ukweli hata kupenda sina raha ona nakonda kwa mawazo

Masikini penzi langu Gina lishakata na kauli roho inatoka kesho

Kutwa nzima mara eeh mara iih hata najutakupendaa

Moyo wangu hmee (moyo mama), moyo wangu mama hmee

Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee

Moyo wangu hmee (moyo mama) moyo wangu mama hmee (moyo mama)

Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama

Hmm tenaa ni kutwa kucha maneno

Kosa sikosa maneno ili mradi tu karaha tantalila mmh sina raha

Wala sina tena mipango(ha.ho) kutwa nzima na mawazo Gina uh aah

Ooh sina raha oh mama

Tamu ya wali ni nazi eeh

Raha ya supu mandazi eeh

Raha yangu mi kupendwa tu nae

Lakini nyota sinaa

Laana napata na radhi eeh nawakufukuru wazazi eeh

Kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa nae lakini bahati sina

Masikini roho yangu (roho yangu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae

Kila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo

Masikini penzi langu Gina lishakata na kauli roho inatoka kesho

Kutwa nzima mara eeh mara iih hata najuta kupendaaa

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee

Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee

Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee

Moyo wangu mimi hme umeniponza mamaa ah ah ah

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee

Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee

- It's already the end -